Category: Kimataifa
Celine Dion hawezi kupona
Muimbaji nguli wa muziki wa sauti za pole pole katika aina za muziki za pop, chanson pamoja na Soft Rock, Celine Dion, anakabiliwa na ugonjwa usiweza [...]
Morocco yaandika historia
Timu ya Taifa ya Morocco imefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya michuano ya kombe la dunia inayoendelea huko nchini Qatar baada ya kuifunga timu [...]
Barbara kujiuzulu Simba SC
CEO wa timu ya Simba SC, Barbara Gonzalez ameandika baarua ya kujiuzulu kwenye klabu hiyo ya wekundu wa msimbazi taarifa aliyoitoa kupitia ukurasa wak [...]
Brazil ‘Out’ Kombe la Dunia
Timu ya Taifa ya Brazil ambayo ndio timu inayoongozwa kwa ubora wa soka duniani kwa mujibu wa viwango vya Shirikisho la mpira duniani (FIFA), imeshind [...]
Apple kuifungia Twitter
Elon Musk ameishutumu Apple Inc (AAPL.O) kwa kutishia kuifungia Twitter Inc katika duka lake la programu bila kusema sababu za hatua hizo wakati wa mf [...]
Nchi zinazoongoza kwa mfumuko wa bei za vyakula
Kwa mujibu wa tathmini ya Benki ya Dunia, Zimbabwe ndiyo nchi inayoongoza kuwa na gharama kubwa ya chakula huku ikitajwa kuongezeka kwa asilimia 321 k [...]
Ramadhani Brothers wameiwakilisha vyema Tanzania
Wanasarakasi wa Kitanzania Ramadhani Brothers, wamefanikiwa kuingia nusu fainali ya mashindano ya Australia Got Talent lakini kushindwa kutwaa ubingwa [...]
Rais Samia atunukiwa tuzo ya Kiongozi Bora AFRIMMA 2022
Waandaji wa tuzo za AFRIMMA wamemtunukua Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan tuzo ya Uongozi Bora kwa mwaka 2022 kutokana na mchango wake katika ku [...]
Tanzania kumi bora uvutaji bangi
Ripoti ya hivi majuzi kuhusu matumizi ya tumbaku kutoka kwa kikundi cha kampeni ya afya ya umma na wasomi wa Marekani imegundua kwamba viwango vya uvu [...]
Kijana aliyeokoa watu kwenye ndege ya Precision Air apewa milioni 1
Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Albert Chalamila amemkabidhi kijana mmoja mvuvi aliyejitosa kwenye maji akijaribu kuwaokoa wahanga wa ajali ya ndege ya Precis [...]