Category: Kitaifa
CHADEMA kutosaini kanuni za maadili ya uchaguzi mwaka huu
Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Ndugu John Mnyika ameufahamisha umma kwamba hatohudhuria na hatoshiriki kwenye kikao cha leo [...]

Tume, Serikali na Vyama vya Siasa kusaini maadili ya uchaguzi
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, vyama vya siasa na Serikali kesho tarehe 12 Aprili, 2025 wanatarajiwa kusaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi yatakayotu [...]
Tanzania yaondoa sharti la kulipia viza ya utalii kwa raia wa Angola
Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza kuwa Serikali ya Tanzania itaondoa sharti la kulipia viza ya kitalii kwa Raia wa Angola kuingia Tanzania, kama amb [...]
Usafiri Somanga warejea
Usafiri umerejea kwa hatua katika barabara iendayo mikoa ya Kusini tangu leo alfajiri baada ya wataalamu wa Wakala wa Barabara (TANROADS) kufanya [...]
Tanzania nchi ya pili kuwa na kiwango kidogo cha rushwa
Kwa mujibu wa taarifa ya Transparenncy International kwa kutumia kiashiria cha The Corruption Perceptions Index (CPI), Tanzania imekuwa nchi ya pi [...]
Mkuchika: Bye Bye ubunge
MBUNGE wa Jimbo la Newala Mjini mkoani Mtwara ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Ikulu (Kazi Maalum) Kapteni Mstaafu George Mkuchika ametang [...]
Jeshi la Polisi latangaza nasafi za ajira
Jeshi la Polisi la Tanzania limetangaza nafasi za ajira kwa vijana wa Kitanzania wenye sifa stahiki, likiwataka kutuma maombi yao kupitia mfumo wa aji [...]

Rais Samia: Tunasonga Mbele
Rais Samia Suluhu Hassan ameidhimisha miaka yake minne tangu aapishwe kuwa Kiongozi wa Nchi kwa kutoa shukurani kwa salamu za kheri alizopokea huku ak [...]

Miaka minne ya Rais Samia, Tanzania ipo imara
LEO inatimia miaka minne tangu Rais Samia Suluhu Hassan aapishwe kuwa Rais tarehe 19 Machi, 2021, kufuatia kifo cha Rais mstaafu, Ma [...]
Taarifa kuhusu gari la polisi kuibiwa mkoani Mbeya
Ikiwa wewe ni mtumiaji wa mitandao ya kijamii huenda umekutana na taarifa ya wezi kuiba gari la polisi mkoani Mbeya, taarifa hizo sio za kweli.
Taa [...]