Category: Kitaifa
Rais Samia atajwa kama kiongozi bora na hodari Afrika
Rais wa @AfDB_Group Mhe. @akin_adesina amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kusimamia vyema mkakati wa matumizi ya nishati safi ya kupikia Afrika. [...]
Rais Samia anadi matumizi ya nishati safi ya kupikia Ufaransa
Rais Samia Suluhu Hassan amesisitiza kwenye kuhakikisha suluhisho linapatikana ili kuwezesha upatikanaji wa nishati safi ya kupikia na nafuu barani Af [...]
Rais Samia kuwa mwenyekiti mwenza mkutano wa kimataifa wa nishati safi ya kupikia Ufaransa
Rais Samia Suluhu Hassan atasafiri kwenda Nchini Ufaransa kuhudhuria na kuwa Mwenyekiti mwenza wa mkutano wa kimataifa wa nishati safi ya kupikia unao [...]
Fahamu sababu za kuongezeka kwa Mfumuko wa Bei wa Taifa
Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa mwaka ulioishia mwezi Aprili, 2024 umeongezeka kidogo hadi asilimia 3.1 kutoka asilimia 3.0 kwa mwaka ulioishia mwezi Mach [...]
Rais Samia: Wakati kuwekeza Tanzania ni sasa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania ipo tayari kwa uwekezaji na hivyo wawekezaji na wafanyabiashar [...]
Rais Samia aagiza mkakati wa nishati safi kutafsiriwa kwa lugha mbili
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Samia Suluhu Hassan ameiagiza wizara ya nishati kuhakikisha Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi [...]
Uboreshaji wa miundombinu ya bandari wakuza mapato
Mkurugenzi wa Bandari ya Dar es Salaam, Mrisho Mrisho amesema maboresho yalifanywa na Serikali katika bandari za Tanzania yamechangia kwa kiasi kubwa [...]
Likizo ya uzazi yaongezwa
Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango amewataka waajiri nchini kuwapa muda zaidi wa likizo wafanyakazi wanaojifungua watoto njiti ili kuhakikisha ustawi wa [...]
Marufuku kuvuta sigara hadharani
Serikali kupitia Wizara ya Afya imesema tayari bunge limepitisha Sheria ya Udhibiti wa Tumbaku ijulikanayo kama “The Tobacco Products (Regulation) Act [...]
Daraja la Tanzanite kufungwa kila Jumamosi
Barabara inayoanzia Taasisi ya Saratani Ocean Road kupitia Hospitali ya Aga Khan hadi kwenye daraja la Tanzanite itafungwa kila siku ya Jumamosi kuanz [...]