Category: Kitaifa
Kiwanda kipya cha vifunganishio kujengwa nchini
Kiwanda cha Dongguan Chenghua Industrial Co. Ltd kinachotengeneza vifungashio vya bidhaa mbalimbali zikiwemo za vyakula, mazao ya kilimo, urembo, vipo [...]
Fahamu mashirika 9 yaliyofutiwa usajili
Bodi ya uratibu wa mashirika yasiyo ya kiserikali nchini imefuta leseni za uendeshaji za mashirika tisa ya kimataifa na kitaifa ikiwemo taasisi ya Mo [...]
Wasiomaliza ujenzi wa shule za sekondari kukiona cha moto
Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa ametoa onyo kwa wakuu wa mikoa yote nchini kuhakikisha kwamba ujenzi wa miundombinu yote katika shule za sekondari u [...]
Bodi na Menejimenti ya TASAC yafanya ziara mkoani Mtwara
Bodi ya Wakurugenzi na Menejimenti ya Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) ikiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi Nahodha. Mussa Mandia imefanya ziar [...]
Asilimia 84 ya wananchi husikiliza redio
Ripoti ya Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto na Viashiria vya Malaria wa Mwaka 2022 inaeleza kwamba chombo cha habari kinachotumika zaidi ni redio amba [...]
Mazungumzo ya kurudisha mabaki ya miili na mafuvu kuanza
Tanzania na Ujerumani zinatarajia kuanza mazungumzo rasmi juu ya yaliyojiri wakati wa ukoloni ikiwemo kurejesha mabaki ya miili na mafuvu yaliyochukul [...]
Tanzania na Zambia zasaini mikataba 8 ya ushirikiano
Tanzania na Zambia zimesaini mikataba 8 ya ushirikiano, kufuatia ziara ya kitaifa ya Rais Samia Suluhu Hassan nchini Zambia.
Mikataba hiyo ilifuati [...]
Rais Samia aizawadi Zambia Hecta 20 Bandari Kavu ya Kwala
Rais Samia Suluhu Hassan aigawia Zambia hecta 20 za ardhi katika bandari kavu ya Kwala kama zawadi ya kutimiza miaka 59 ya uhuru wao.
Amesema taari [...]
Matukio katika picha Rais Samia Suluhu akiwa Zambia
Rais Samia Suluhu ameweka shada Mnara wa Uhuru wa Zambia na kaburi la Rais wa Kwanza wa Zambia, Dkt. Kenneth Kaunda.
Leo Zambia inaadhimisha [...]
Ziara ya Rais Samia nchini Zambia kudumisha uhusiano
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewasili Zambia kwa ziara ya kiserikali ya siku tatu.
Ziara hii inatarajiwa kuimarisha uhusiano uliopo kati [...]