Category: Kitaifa
Rais Samia ahitimisha ziara yake mkoani Ruvuma kwa kishindo
Rais Samia Suluhu Hassan amehitimisha ziara yake ya kikazi ya siku sita mkoani Ruvuma na kuhutubia maelfu ya wananchi waliohudhuria mkutano katika Uwa [...]
Rais Samia awapatia gari wanafunzi wa Shule ya Samia Namtumbo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amekubali ombi la kuwapatia gari la shule wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Dkt. Samia Suluhu Ha [...]
Serikali kuendelea kuiimarisha sekta ya madini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema serikali itaendelea kuiimarisha sekta ya madini ili iendelee kuwa na ma [...]
Rais Samia: Tunatekeleza Ilani ya CCM kwa vitendo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu amesema serikali yake anayoiongoza inatekeleza kwa vitendo maagizo yote yaliyomo katik [...]
Rais Samia: Tunatekeleza Ilani kwa vitendo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu amesema serikali yake ya awamu ya sita inafanya kazi kwa kuzingatia maagaizo yaliyotolewa na [...]
Rais Samia: Tusikubali kugawanywa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametoa wito kwa Watanzania kuweka mbele maslahi ya taifa na kukataa migawanyiko ya kisia [...]
Orodha ya majina ya viongozi wa Chadema na wananchi waliokamatwa
Jeshi la Polisi limetoa orodha ya majina ya watuhumiwa waliokamatwa kwa kosa la kwenda kinyume na katazo la kufanya maandano.
[...]
Tanzania ya kwanza Afrika ongezeko la watalii
Katika miezi saba ya kwanza ya mwaka 2024, sekta ya utalii wa kimataifa imeshuhudia ongezeko kubwa la idadi ya watalii waliowasili katika nchi kadhaa, [...]
Nafasi 600 za kazi zatangazwa
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa (LGAs) anakaribisha maombi [...]
Rais Samia awataka Watanzania kusimama imara na kuungana
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewataka Watanzania kuungana na kukemea vitendo vya mauaji vinavyotokea nchini ili kukomesha matukio hayo badala [...]