Category: Kitaifa

1 4 5 6 7 8 215 60 / 2146 POSTS
Kodi mpya kwa mafuta ghafi ya kula yanayoingizwa nchini

Kodi mpya kwa mafuta ghafi ya kula yanayoingizwa nchini

Serikali imependekeza kuanza kutoza ushuru wa forodha wa asilimia 10 kwa mafuta ghafi ya kula ya aina mbalimbali yanayoingizwa nchini, ikiwemo mafuta [...]
Rais Samia haendi nje kutafuta misaada, anatafuta fursa

Rais Samia haendi nje kutafuta misaada, anatafuta fursa

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, amesema kuwa ziara za Rais Samia Suluhu Hassan katika mataifa mbalimbali [...]
Ziara ya Rais Samia yazaa makubaliano nane katika ya Tanzania na Urusi

Ziara ya Rais Samia yazaa makubaliano nane katika ya Tanzania na Urusi

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, amesema tayari makubaliano nane yamefikiwa kati ya Tanzania na Urusi ikiwa [...]
Rais Samia: Polisi epukeni vitendo vya rushwa

Rais Samia: Polisi epukeni vitendo vya rushwa

Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Rais Samia Suluhu Hassan amewataka maafisa wa Jeshi la Polisi kuhakikisha wanajenga taswira njema ya [...]
CCM: Siasa zitumike kutuunganisha

CCM: Siasa zitumike kutuunganisha

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema siasa zitumike kuunganisha watu, zilete upendo na umoja na wazikatae siasa za chuki na wanasiasa wanaotafuta umaaru [...]
Usafiri wa Anga Tanzania wakua kwa asilimia 12.63, abiria wafikia milioni 6.81

Usafiri wa Anga Tanzania wakua kwa asilimia 12.63, abiria wafikia milioni 6.81

Idadi ya abiria wanaotumia usafiri wa anga nchini Tanzania imeongezeka kwa asilimia 12.63 na kufikia abiria milioni 6.81 katika mwaka wa fedha 2025/26 [...]
Museveni: “Msiisahau Tanzania”

Museveni: “Msiisahau Tanzania”

Rais wa Uganda, Mhe. Yoweri Kaguta Museveni, ameishukuru Tanzania kwa mchango wake mkubwa katika maendeleo na utulivu wa Uganda, akimtaja Baba wa Taif [...]
Ujenzi wa bomba la mafuta waingia hatua za mwisho

Ujenzi wa bomba la mafuta waingia hatua za mwisho

Menejimenti ya Wizara ya Nishati imetembelea mradi wa kimkakati wa kusafirisha mafuta ghafi kutoka Hoima nchini Uganda hadi Chongoleani mkoani Tanga n [...]
Rais Ruto awasili Tanzania

Rais Ruto awasili Tanzania

Rais wa Jamhuri ya Kenya, Mhe. Dkt. William Ruto CGH, amewasili nchini Tanzania kwa Ziara ya Kitaifa ya Siku Mbili Mei 4 na 5, 2026. Mheshimiwa Rut [...]
Rais Kagame atua Tanzania

Rais Kagame atua Tanzania

Rais wa Jamhuri ya Rwanda, Mhe. Paul Kagame amewasili nchini kwa Ziara ya Kikazi ya siku moja yenye lengo la kuimarisha uhusiano wa uwili kati ya Tanz [...]
1 4 5 6 7 8 215 60 / 2146 POSTS
error: Content is protected !!