Dakika tano zinatosha kumfikisha mwanamke kileleni

HomeElimu

Dakika tano zinatosha kumfikisha mwanamke kileleni


(1) Acha kisirani muandae kisaikolojia kabla ya tendo;
Lakufanya ni kumuandaa kisaikolojia kwa kuwa unampenda, muoneshe mapenzi kama yote, acha kuchepuka na nguvu zote wekeza kwake, mpe sababu nyingine ya kukupenda zaidi ya kitandani kwani hiyo haipo. Vizawadi, mheshimu na mfanye kila akitaka kukuchoka awaze lakini ananipenda, lakini ananijali yaani mpe sababu ya kukupenda tofauti na kuvunjana.

Hapo kisaikolojia unamvuta kwako na kumfanya kusisimkwa hata akiguswa na wewe, kwamba anaweza kukuvumilia kwa chochote kwa kuwa unamjali, unakuwa umeiweka akili yake sawa.

(2) Jua sehemu zake zinazompa mzuka
Kila mwamke ana sehemu katika mwili wake ambayo ukiigusa anachanganyikiwa ijue. Acha kukariri kwamba wote wako sawa, kuna wengine ni nywele, wengine masikio na kuna shingo na kuna wengine visigino (dunia hii acha tu). Jifunze namna ya kuzishika vizuri, usiwe na mbwembwe sana, shika taratibu utajua tu.

Kuna wengine tena wanakuelekeza lakini kwa kuwa uko bize na kisirani chako huoni, unapomshika hiyo sehemu unaona anachanganyikiwa, anaweza kukushika, kukubana, kulegea na vitu vingine. Lakini kama hataki hiyo sehemu utaona anakusogeza, hakuambii lakini unatakiwa kujiongeza.

(3) Wekeza kwenye kuta za kinu;
Katika kutwanga unatakiwa kujua kuwa kama wewe ni wadakika tano mahindi hayatatwangika kwa kutwanga katikati yataishia kuruka tu.

Chukua mchi wako kwanga kwa pembeni, kwamba kuwa kama unausugulia pembeni huko ndipo hisia zilipo, kwamba mchi wako ukigusana na kinu basi anasisimkwa zaidi kuliko mchi ukipiga pale katikati ambapo unagusa mahindi tu, hasa kama una mchi mdogo ambao unaelea kwenye kinu twanga kwa staili za kusugulia mchi kwenye kona za kinu.

Mwanzo itakua shida ila ukizoea utajiona kama unaweza, nadhani mmenielewa maana!

(4) Kuna kilele cha nje na kilele cha ndani;
Katika kufanya mapenzi kuna vilele vya aina mbili kwa mwanamke, cha kwanza ni cha mwanamke, hapa nazungumzia kwenye kahindi (maharage) pale ukipasugua vzuri kabla ya kuanza kutwanga kwa kutumia mikono yako na vifaa vingine au wakati unatwanga basi ukasugua kutumia mchi wako mwanamke anaweza kufika kileleni bila shida.

Ingawa usichanganye,yale maji ya kwanza mengi si kilele, ile raha lakini si kilele, kuna kingine cha ndani ambacho maji yake unaweza usiyaone ila umuone anavyochanganyikiwa.

Kilele cha pili cha ndani hiki ni cha G-spot, hii ni sehemu ya ndani, ambayo ipo upande wa juu wa kinu cha mwanamke, ipo kuanzia nchi 3-4, na inategemeana na mwanamke kuna wengine hata haipo mbali ni kama nchi mbili tu mbili na nusu.

Kama ukifanikiwa kuigusa ni rafufadu hivi ina mikunjo flani hivi, basi wakati wa kutwanga elekeza mchi wako juu na isugue, hii ikiguswa vizuri basi nirahisi kufikia kilele chenyewe. Sasa kama ulishamuandaa vizuri mwanamke, kiakili na kimwili basi ukiigusa sehemu hii kwa dakika tatu tu anafika kileleni.

Haihitaji hata mbwembwe nyingi, hizo dakika zako tano tu unakuta mtu kashalegea kalala kabisa na hataki. Tena anaridhika kabisa na hatamani kuchepuka hasa akikumbuka kuwa katika maisha ya kawaida unamjali, akiwaza akusaliti kwa hilo wakati mashoga zake wananyanyasika anaona bora avumilie.

Lakini kama kila siku kisirani, kumtukana, kumnyanyasa wakati huko hamna kitu kwanini asitafute sehemu ya kutuliza roho. Kumbuka hata kama unaenda raundi kumi kama humuandai vizuri anaweza asifike huko kileleni.

error: Content is protected !!