Diamond amuwaza Kiba

HomeBurudani

Diamond amuwaza Kiba

Hatimaye msanii Diamond ameachia EP yake usiku wa jana ikiwa na takribani nyimbo 10 alizoshirikisha wasanii mbalimbali wa ndani na nje ya nchi kama Mbosso, Zuchu, Focalistic na Adenkule Gold.

Moja wapo ya wimbo katika albamu hiyo ni ngoma namba 8 aliyoipa jina la NAWAZA ambapo ndani yake ameweka mawazo yake mengi na moja katika yao ni mstari unaosema “Ninalowaza leo nishawaza sana mi na Kiba uogomvi kivipi, Nikagundua ni ushamba na ujana wakugombania mashabiki,”.

Hii hapa orodha ya nyimbo zinazopatikana kwenye EP yake ya First Of All (FOA)

 

View this post on Instagram

 

A post shared by SIMBA..!? (@diamondplatnumz)

error: Content is protected !!