Diwani aliyepotea akutwa na mwanamke Tabata

HomeKitaifa

Diwani aliyepotea akutwa na mwanamke Tabata

Jeshi la polisi Kanda maalum Dar es salaam limesema Diwani wa Kata ya Kawe Mutta Rwakatare aliyetoweka tangu mwezi wa pili amekutwa nyumbani kwa mwanamke mmoja Tabata. 

Mwanamke huyo Ashura Ally anasema kuwa Diwani huyo alifika nyumbani kwake akiwa katika hali ya ulevi.

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro akizunumzia kuhusu kupatikana kwa Diwani Rwakatare

 

error: Content is protected !!