Fahamu nchi 10 za Afrika zenye madeni makubwa China

HomeKimataifa

Fahamu nchi 10 za Afrika zenye madeni makubwa China

China ni kati ya mataifa makubwa duniani yanayokopesha nchi nyingi za Afrika kiwango kikubwa cha fedha zinazowasaidia kutekeleza miradi na pia kuendesha nchi zao.

Mlipuko wa Uviko- 19 na vita kati ya Russia na Ukraine ulifanya nchi nyingi za Afrika kushindwa kulipa madeni yao kutokana na kuyumba kwa uchumi na kukosa nguvu kazi hivyo kujikuta na wakati mgumu wa kuhakikisha zinalipa madeni huku zikiendesha nchi zao.

Zifuatazo ni nchi 10 za Afrika zenye madeni makubwa kutoka China

1. Angola – Trilioni 99
2. Ethiopia – Trilioni 32
3. Zambia- Trilioni 23
4. Kenya- Trilioni 22
5. Nigeria – Trilioni 15
6. Cameroon-Trilioni 14.5
7. Sudan- Trilioni 14
8. The Democratic Republic of Congo-Trilioni 12.6
9. Ghana-Trilioni 12.4
10. Cote d’lvoire- Trilioni 8

 

SOURCE : Business Inside Africa 

error: Content is protected !!