Faida za kuvaa soksi wakati wa tendo la ndoa

HomeElimu

Faida za kuvaa soksi wakati wa tendo la ndoa

Tafiti iliyofanywa na Gert Holstege mwaka 2015 ilibanini kwamba asilimia 50 ya wanandoa waliweza kufurahia zaidi kushirikia tendo la ndoa wakiwa wamevaa soksi kwani akili inakua imetulia.

Unaweza kushangaa inawekanaje? lakini huu ni ukweli usiopingika, uvaapo soksi wakati mkishiriki tendo la ndoa hasa kama hali ya hewa ni ya ubaridi inaongeza hamu kati yenu ya kuendelea na tendo hilo.

Pia inasaidia kukufanya upate usingizi mzuri baada ya kushiriki tendo hilo, hivyo basi ni vyema ukaanza utaratibu huu wa kuvaa soksi ili uweze kufurahia tendo la ndoa.

Aidha, ili uweze kushiriki vizuri tendo hilo, ni vyema ukavaa soksi safi ili kuepusha harufu mbaya ambayo inaweza ikaharibu wakati wenu wa furaha.

error: Content is protected !!