‘Girlfriends day’ ni kwa Marekani tu

HomeKimataifa

‘Girlfriends day’ ni kwa Marekani tu

Leo Agosti 1, ni siku ya marafiki wa kike ‘girlfriends day’ na tofauti na ilivyo kwa siku ya wapendanao, siku hii ni mahususi kwa wanawake kwa ajili ya kutoa shukrani zao kwa marafiki wa kike katika maisha yao na haina uhusiano wa kimapenzi. Siku hii ilianza kuadhimishwa mwaka 2004.

Siku hii si kwa ajili ya kusherekewa dunia nzima bali ni nchini Marekani pekee.

 

 

error: Content is protected !!