Harmonize amkimbiza Burna Boy

HomeBurudani

Harmonize amkimbiza Burna Boy

Katika albumu ya Burna Boy iliyotoka rasmi jana Julai 8,2022, hapo hapo aliachia Video ya kwanza kutoka katika Album hiyo. Video ya FOR MY HAND, Wimbo namba 13 kati ya 19 zinazopatikana katika albumu yake, wimbo huo amemshirikisha Ed Sheeran.

Mpaka sasa Wimbo huo pande za Youtube una Views Millioni 2 huku Deka ya Harmonize iliyoachiwa masaa Matano mbele yake ina watazamaji milioni 3.4 hivyo kwa akili ya kawaida utasema kwamba Deka ya Harmonize imeifunika Views For My Hand.

Watanzania tunaamini kwamba msanii mkubwa anapatikana youtube wakati wenzetu msanii mkubwa anapatikana SPOTIFY, APPLE MUSIC, TIDAL, AMAZON n.k.

Ifike wakati tuwekeze nguvu zaidi katika mitandao hiyo.

 

error: Content is protected !!