Waziri wa Habari Sri Lanka ajiuzulu

HomeKitaifa

Waziri wa Habari Sri Lanka ajiuzulu

Waziri wa Uchukuzi, Barabara na Vyombo vya Habari nchini Sri Lanka, Bandula Gunawardana ametangaz akujiuzulu katika nafasi hiyo ya uwaziri.

Bandula alisema kwamba pia atajiuzulu kutoka kwa uanachma wa Sri Lanka Podujana Peramuna (SLPP).

Aidha, Bandula amesema bado atabaki kuwa mbunge huru.

 

error: Content is protected !!