Rais Samia afanya uteuzi

HomeKitaifa

Rais Samia afanya uteuzi

Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Bw. Habibu Juma Saidi Suluo kuwa Mkurungenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA).

Bwana Suluo anachukua nafasi ya Bw. Gilliard W. Ngewe ambaye amemaliza Mkataba wake.

Kabla ya uteuzi huo Bw. Sulo alikuwa Mkurugenzi wa Fedha na Uhasibu, Shirika la Wakala wa Meli za Tanzania. (TASAC).

error: Content is protected !!