Rais Samia aguswa kifo cha Bi. Hindu

HomeKitaifa

Rais Samia aguswa kifo cha Bi. Hindu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameguswa na kifo cha muigizaji nguli nchi na mtangazaji Chuma Selemani maarufu kama Bi. Hindu kilichotokea leo majira ya asubuhi akiwa nyumbani kwake Magomeni.

error: Content is protected !!