Hii industry haina shukurani

HomeBurudani

Hii industry haina shukurani

Baada ya Romy Jons ambaye ni kaka wa msanii Diamond Platnumz kumuandikia barua ya wazi kwenye ukurasa wake wa Instagram akimtaka mdogo wake aachane na tabia ya kutumia muda mwingi katika kukuza wasanii chipukizi na kuanza kutumia muda kujiunua yeye kwa kile alichodai kwamba wasanii hao wamekua wakimgeuka mwisho wa siku.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by “RJTHEDJ” (@romyjons)

Diamond amemjibu kaka yake kwa kumuambia kwamba sasa hivi anatambua kwanini wasanii wakubwa wanaamua kutumia muda mwingi kufanya kazi zao na sio za chipukizi na kukiri kwamba hii ndiyo sababu ya watu kama Davido na Wizkid kuzidi kukua.

 

error: Content is protected !!