Hizi hapa nauli mpya

HomeKitaifa

Hizi hapa nauli mpya

Mamlaka ya Udhibiti Usafiri ardhini (LATRA) imetagaza viwango vipya vya bei ya nauli za daladala na mabasi ya mikoani huku nauli ya wanafunzi ikibakia shilingi 200.

Mkurugenzi Mkuu wa LATRA Gillard Ngewe ametangaza viwango hivyo vipya vya nauli jijini Dar es Salaam vitakavyoanza kutumika Mei 14, 2022.

Viwango vipya nauli kwa kilomita

Km 0- 10 nauli ni 500

Km 15 nauli ni 550

Km 20 nauli ni 600

Km 25 nauli ni 700

Km 30 nauli ni 850

Km 35 nauli 1000

Km 40 nauli 1100

 

error: Content is protected !!