Kiasi kilichotolewa na Yanga SC kumpata KI

HomeKitaifa

Kiasi kilichotolewa na Yanga SC kumpata KI

 Usajili huo ambao unajumuisha nyota mbalimbali wa ndani na nje, usiku wa kuamkia leo Julai 15,2022 Yanga SC wamemtambulisha nyota na kiungo mshambuliaji kutoka Afrika Magharibi, Stephane Aziz KI kama mchezaji mpya.

Aziz Ki amenunuliwa kwa dau ambalo linatajwa kuvunja rekodi kwa timu ya ndani kununua mchezaji huyo.

Inatajwa kuwa, karibia nusu bilioni imetumika kuipata saini ya nyota huyo ambaye ni tegemezi katika timu ya Taifa ya Burkinafaso.

error: Content is protected !!