Kili Paul avamiwa na watu wasiojulikana

HomeBurudani

Kili Paul avamiwa na watu wasiojulikana

Kili Paul maarufu kama Mmasai wa Tiktok amevamiwa na watu wasiojulika waliokua wamebeba silaha kama mapanga na visu  ambapo walimjeruhi wakati akijaribu kupambana nao.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Kili aliweka picha akiwa hospitali na kuelezea namna ambavyo watu hao walimvamia.

Maneno aliyoandika Kili Paul kwenye ukurasa wake wa Instagram

error: Content is protected !!