Kuna nini WhatsApp ?

HomeKimataifa

Kuna nini WhatsApp ?

Mtandao wa WhatsApp umeonekana kukabiliwa na hitilafu baada ya baadhi ya watumiaji kuripoti matatizo ya kushindwa kutuma na kupokea jumbe mbalimbali kwenye aplikesheni hiyo.

Karibu watu 6000 wameripoti kukumbwa na changamoto hiyo.

Taarifa kutoka WhatsApp imesema kwamba ” Tunafahamu kuwa baadhi ya watu kwa sasa wanapitia changamoto hiyo ya kutuma na kupokea jumbe lakini tunajitahidi kurejesha huduma kwa haraka.

error: Content is protected !!