Kweli walibadilishiwa namba za mtihani

HomeKitaifa

Kweli walibadilishiwa namba za mtihani

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema kuwa baraza la Mitihani limejiridhisha kwamba watahiniwa katika shule ya Chalinze Modern Islamic walibadilishiwa namba ya mtihani.

Waziri wa elimu Prof. Mkenda amesema baada ya uchunguzi imebainika kuwa ni kweli mtahiniwa alibadilishiwa namba na kwamba watahiniwa wengine 7 walibadilishiwa namba za mtihani.

Octoba 13, 2022 zilisambaa video kwenye mitandao zikimuonesha mtahiniwa Iptisum Suleiman Slim akilalamikia kubadilishiwa namba ya mtihani wa darasa la saba, shule ya Chalinze Modern Islamic

error: Content is protected !!