LHRC yalaani mauaji kigoma

HomeKitaifa

LHRC yalaani mauaji kigoma

Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimelaani tukio lililopelekea kifo cha Juma Ramadhani (35) kilichotokea tarehe 14, Machi 2022 katika uwanja wa Lake Tanganyika Kigoma baada ya kupigwa risasi na askari wakati Jeshi la Polisi mkoani Kigoma likidhibiti vurugu zilizohusisha mashabiki wa timu Mwandiga FC na Kipampa.

LHRC wamelaani tukio hilo kupitia barua waliyochapishwa kwenye ukurasa wao wa Twitter.

error: Content is protected !!