Maana ya video ya Simba ya Fei Toto

HomeMichezo

Maana ya video ya Simba ya Fei Toto

Mchezaji wa Yanga SC , Feisal Salum maarufu kama “Fei Toto” ameweka video ya mnyama simba yenye maneno ya lugha ya kifaransa jambo lililoibua hisia tofauti kwa mashabiki wa mchezaji huyo ikizingatiwa na maneno yanayosambaa kwamba kiungo huyo anataka kuachana na mabingwa hao.

Maneno yaliyoonekana yakipita kwenye video hiyo ni,

“Moi
quand dieu est a mes cotes
Je ne crains ni la mort ni mes ennemis
Ma foi est enebranlable
Mon corps est le temple de dieu
Peu importe les obstacles sur
Mon chemin J’avance
Jesus est Ma force ma foi inebranlable”

Maana ya maneno hayo ni,

“Mimi
wakati mungu yuko upande wangu
Siogopi kifo wala adui zangu
Imani yangu haitikisiki
Mwili wangu ni hekalu la mungu
Bila kujali vikwazo
Njia yangu ninasonga mbele
Yesu ni nguvu yangu imani yangu isiyoyumba”

error: Content is protected !!