Ijue safari ya mahusiano ya Rihanna

HomeBurudani

Ijue safari ya mahusiano ya Rihanna

Hatimaye Rihanna amepata mwenza ambaye anamfanya ajione kama msichana pekee kwenye dunia hii kama asemavyo  katika wimbo wake wa ‘Only girl in the world’, naye si mwingine bali ni rapa A$AP Rocky na hivi karibuni wawili hao wametangaza kuwa wanatarajia mtoto.

Walakini, kabla ya kuchumbiana na rapa huyo, mbunifu wa Savage X Fenty aliwahi kuwa katika mahusiano na baadhi ya watu kama;

Chris Brown (2007- 2013)

Matt Kemp (2009-2010)

Karim Benzema (2015-2017)

Lewis Hamilton (August 2015)

Travis Scott

Leonardo DiCaprio

Drake (2016-2018)

Hassan Jameel (2017-2020)

A$AP Rocky (2020- to date)

 

 

error: Content is protected !!