Madhara ya bangi ukeni

HomeElimu

Madhara ya bangi ukeni

Watu wengi huvuta bangi kabla ya kuanza kushiriki tendo la ndoa wakidhani kwamba kufanya hivyo kuna waongezea hamu zaidi ya kufurahia tendo hilo lakini ukweli ni kwamba kitendo hicho hukausha mate mdomoni na ukeni pia.

Utafiti uliofanywa na Dr. Jullie Holland, mwandishi wa vitabu vya Moody Bitches: The Truth About The Drugs You’re Taking, The Sleep You’re Missing, The Sex You’re Not Having, and What’s Really Making You Crazy,” alibainisha kwamba marijuana hukausha mate na unyevunyevu kwenye uke na mdomoni pia.

Kukauka kwa uke kuna madhara wakati wakujamiana kwani kunaweza kukusababisha maumivu na michubuko sababu wakati wa tendo hilo lazima kuwe na vilainisha na kama vitakosekana basi lazima upate maumivu.

 

error: Content is protected !!