Mahakama yaweka zuio akina Mdee kuguswa

HomeKitaifa

Mahakama yaweka zuio akina Mdee kuguswa

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, leo Jumatatu Juni 27,2022 imetoa zuio la muda kuhusu kutofanyika chochote kwenye ubunge wa Halima Mdee na wenzake 18 mpaka pale Mahakama hiyo itakaposikiliza maombi ya rufaa yao.

Zuio hilo limekuja baada ya Kesi ya kina Mdee na wenzake kururudishwa Mahakama kuu baada ya marekebisho yaliyopelekea kutupiliwa mbali maombi yao ambapo badala ya kushitaki Bodi ya Wadhamini (Board of Trustees) sasa maombi yao waliyoyawasilisha ni kuwashtaki Baraza la Wadhamini (Registered of Trustees).

error: Content is protected !!