Majina ya walioitwa kwenye usaili TSN

HomeKitaifa

Majina ya walioitwa kwenye usaili TSN

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Ofisi ya Magazeti ya Serikali (TSN) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi ya muda maalumu wa mwaka mmoja (miezi 12) kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 16 – 18 Julai, 2022 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.

20220907142227KUITWA KWENYE USAILI TSN
error: Content is protected !!