Majizzo apinga mtazamo wa Hando kuhusu mikopo ya serikali

HomeBurudani

Majizzo apinga mtazamo wa Hando kuhusu mikopo ya serikali

Mkurugenzi wa EFM na TVE, Francis Ciza “Majizzo” amepinga mtazamo wa mtangazaji wa EFM redio, Gerald Hando kuhusu namna ambavyo serikali imekua ikichukua mikopo.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by Professor (@majizzo)

error: Content is protected !!