Salamu za mwaka mpya za Rais Samia Suluhu

HomeKitaifa

Salamu za mwaka mpya za Rais Samia Suluhu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amehutubia Taifa nakutoa salam za kuaga Mwaka 2022 na kuukaribisha Mwaka mpya wa 2023 Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 31 Desemba, 2022.

salamu 2023 mpya

error: Content is protected !!