MAKONDA: Mashoga wanataka kuniua

HomeKitaifa

MAKONDA: Mashoga wanataka kuniua

Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amefunguka rasmi kuhusu usalama wake baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Makonda ametaja makundi matano  ya watu waliombioni kuangamiza maisha yake.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by Paul Makonda (@baba_keagan)

error: Content is protected !!