Mama G ndani ya Jua Kali ya Lamata

HomeBurudani

Mama G ndani ya Jua Kali ya Lamata

Mwigizaji maarufu kutoka nchini Nigeria Patience Ozokwo maarufu kama Mama G ameanza kuonekana kwenye tamthilia pendwa ya Jua Kali inayoandaliwa na Leah Mwendamseka ‘Lamata’ hali iliyoibua hisia kwa watazamaji na wafuatiliaji wa tamthilia hiyo.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by LAMATA LEAH (@lamataleah)

 

error: Content is protected !!