Mama wa marehemu Elias Kwandikwa afariki dunia

HomeKitaifa

Mama wa marehemu Elias Kwandikwa afariki dunia

Ikiwa ni mwezi mmoja tu umepita tangu kufariki kwa aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Elias Kwandikwa, leo hii, Flora Andrea ambaye ni Mama mzazi wa Elias Kwandikwa amefariki akipatiwa matibabu katika Hospitali ya wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga.

Mwanafamilia ambaye pia alikuwa Katibu wa Elias Kwandikwa, Julias Lugobi ameeleza kuwa marehemu alikuwa akisumbuliwa na tatizo la mapafu na alilazwa hospitali akipatiwa matibabu kwa muda wa wiki moja.

error: Content is protected !!