Serikali yakutana na kamati ya wazazi wa watoto wanaosoma UKraine

HomeKitaifa

Serikali yakutana na kamati ya wazazi wa watoto wanaosoma UKraine

Waziri wa Mambo ya Nje, Mhe.Liberata Mulamula amekutana na kufanya mazungumzo na kamati ya wazazi wa wanafunzi wanaosoma nchini Ukraine ambapo amewatia moyo na kuwaeleza kuwa tayari serikali imetuma Maafisa walioko Balozi za Sweden na Ujerumani kwenda katika nchi za Poland na Hungary kufanya usimamizi na utaratibu wa kuwawezesha wanafunzi hao kuvuka mpaka na kuingia katika nchi hizo kiurahisi ili waweze kurejea nchini wakiwa salama.

error: Content is protected !!