Hamisa Mobetto na BlacChyna ndani ya mchongo mmoja

HomeBurudani

Hamisa Mobetto na BlacChyna ndani ya mchongo mmoja

Mjasiriamali kutoka nchini Tanzania , Hamisa Mobetto ameweka wazi kwamba kuanzia sasa yeye ni balozi wa bidhaa za vipodozi vya whitenicious kutoka kampuni ya  Dencia Africa ambapo balozi mwingine wa bidhaa hizo ni mwanamuziki maarufu kutoka Marekani BlacChyna.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by Hamisa Mobetto (@hamisamobetto)

error: Content is protected !!