Marioo kuja na Davido

HomeBurudani

Marioo kuja na Davido

Msanii wa bongo fleva Marioo anayetamba na ngoma yake ya Mi Amore ametangaza kuachia remix ya wimbo huo pendwa akiwa amemshirikisha nyota kutoka nchi Nigeria, Davido.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Marioo ameweka taarifa hiyo huku maoni ya mashabiki zake yakionyesha kusubiri kwa hamu wimbo huo.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by BAD? (@marioo_tz)

error: Content is protected !!