Mdee na wenzake ‘OUT’

HomeKimataifa

Mdee na wenzake ‘OUT’

Baraza kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) limeunga mkono uamuzi wa Kamati Kuu wa kuwafukuza uanachama Halima Mdee na wenzake 18 kwa kosa la kukubali kwenda kuapishwa na kuwa wabunge wa viti maalumu bila ridhaa ya Chama hicho.

Idadi ya wajumbe 423 walikubali uamuzi wa kuwafukuza uanachama sawa na asilimia 97.6% , Wasiokubali ni 5 sawa na asilimia 1.2% na wasiofungamana upande wowote ni 5 sawa na asilimia 1.2%.

error: Content is protected !!