Mike Tyson na Bangi za pipi

HomeKimataifa

Mike Tyson na Bangi za pipi

Mwanamasumbwi kutoka nchini Marekani Mike Tyson amezindua aina mpya za bangi za pipi ambazo zipo kwenye umbo la sikio la binadamu alizozipa jina la ‘Mike Bites’.

Ameamua kutumbulisha bangi hizo za pipi kwa umbo la sikio ikiwa ni miaka 25 tangu amng’ate sikio mwanamasumbwi mwenzake, Evander Holyfield mwaka 1997 wakiwa kwenye mpambano.

error: Content is protected !!