Taarifa ya Awali: Kuhusu Majeruhi Mkapa Stadium DSM. Hadi sasa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Temeke imepokea Majeruhi 30 ambapo 1 amefariki (Mwanaume mwenye umri wa takribani miaka 40. Majeruhi wengi wanaendelea vizuri wana majereha madogomadogo, wanaendelea na vipimo. Aidha timu…
— Ummy Mwalimu, MP (@ummymwalimu) May 28, 2023
Newer Post
Magazeti ya leo Mei 29,2023