Morrison aomba uraia Tanzania

HomeMichezo

Morrison aomba uraia Tanzania

Mchezaji wa Ghana Bernard Morrison amemuomba Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu kumpa kibali cha kumuwezesha kuishi Tanzania kama raia wa Tanzania kwani anaipenda sana nchi hii.

Katika mahojiano na kituo kimoja cha habari (Global Tv) , Morrison alisema pamoja na kwamba hata kama hatoweza kuichezea klabu yoyote ya Tanzania anataka akienda kucheza nje arejee nchini kama raia wakitanzania na sio mgeni. 

Ikumbukwe mmoja wa wachezaji waliopewa uraia wa Tanzania akiwepo Kibu Dennis wa klabu ya Simba.

 

error: Content is protected !!