Mrembo kutoka Kenya atoa hisia zake baada ya Diamond kuzindua WasafiBet

HomeBurudani

Mrembo kutoka Kenya atoa hisia zake baada ya Diamond kuzindua WasafiBet

Siku ya tarehe 10 Disemba 2021 katika viunga vya Mlimani City msanii Diamond Platnumz alizundua kampuni yake mpya ya WasafiBet. Punde tu baada ya uzinduzi huo, ukurasa wa kampuni hiyo ya michezo ya bahati nasibu ulipata wafuasi 15,000.

Mrembo na msanii anayefanya vizuri Kenya na Afrika Mashariki, Nadia Mukami alishindwa kuzuia hisia zake na kuamua kutoa hisia zake kupitia ukurasa wa Diamond Platnumz. Comment ya Nadia ilisomeka, “Aaaaah I love Simba, our own P Diddy. Music Business Mogul! Congratulations.”

 

error: Content is protected !!