Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Msimbati, Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara, Taufiki Salumu Hamisi ameandika barua yakuacha shule baada ya kuchaguliwa kujiunga kidato cha kwanza katika shule hiyo.

Barua iliyoandikwa na Mwanafunzi Taufiki Hamisi kwenda kwa mwalimu mkuu wa shule hiyo.