POST: MHANDISI DARAJA II UJENZI (STRUCTURAL) – 134 POST
POST CATEGORY(S): ENGINEERING AND CONSTRUCTION
EMPLOYER: Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)
APPLICATION TIMELINE: 2021-10-16 2021-10-29
JOB SUMMARY:
DUTIES AND RESPONSIBILITIES |
i.Atafanya kazi chini ya uangalizi wa Mhandisi aliyesajiliwa na Bodi ya Usajili ya Wahandisi (Professional Engineer) ili kupata uzoefu unaotakaiwa; |
QUALIFICATION AND EXPERIENCE |
Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha Nne/Sita waliofuzu mafunzo ya Shahada/ Stashahada ya Juu katika fani ya Uhandisi Ujenzi waliojiimarisha katika Miundombinu na Uimara wa Majengo (Bachelor of Science in Civil Engeneering – Structural) kutoka katika vyuo vinavyotambuliwa na Serikali. |
Bonyeza Hapa Kutuma Maombi Yako
Mwisho wa Kutuma Maombi ni Oktoba 29, 2021.