Nafasi mpya za kazi TAMISEMI

HomeMatangazo

Nafasi mpya za kazi TAMISEMI

POST: MHANDISI DARAJA II UJENZI (STRUCTURAL) – 134 POST

POST CATEGORY(S): ENGINEERING AND CONSTRUCTION

EMPLOYER: Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)

APPLICATION TIMELINE: 2021-10-16  2021-10-29

JOB SUMMARY:

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i.Atafanya kazi chini ya uangalizi wa Mhandisi aliyesajiliwa na Bodi ya Usajili ya Wahandisi (Professional Engineer) ili kupata uzoefu unaotakaiwa;
ii. Kufanya ukaguzi wa barabara na madaraja mbalimbali;
iii. Kuchunguza vyanzo vya ajali barabarani;
iv. Kufuatilia utekelezaji wa Sheria na Kanuni za ujenzi wa barabara;
v.  Kutayarisha bajeti ya mwaka ya ujenzi na matengenezo ya barabara na madaraja;
vi. Kusimamia na kuratibu kazi za barabara na madaraja zinazotolewa na Makandarasi; na
vii. Kufanya kazi zingine atakazopangiwa na Msimamizi wake wa kazi.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Kuajiriwa  wahitimu  wa  kidato  cha  Nne/Sita  waliofuzu  mafunzo  ya  Shahada/ Stashahada ya Juu katika fani ya Uhandisi Ujenzi waliojiimarisha katika Miundombinu na Uimara wa Majengo (Bachelor of Science in Civil Engeneering – Structural) kutoka katika vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.


Bonyeza Hapa Kutuma Maombi Yako

Mwisho wa Kutuma Maombi ni  Oktoba 29, 2021.

error: Content is protected !!