Nauli mpya za daladala

HomeKitaifa

Nauli mpya za daladala

Mamlaka ya Udhibiti Usafiri ardhini (LATRA) imetagaza viwango vipya vya bei ya nauli za daladala na mabasi ya mikoani huku nauli ya wanafunzi ikibakia shilingi 200.

Mkurugenzi Mkuu wa LATRA CPA Habibu J. Suluo ametangaza viwango hivyo vipya vya nauli jijini Dar es Salaam vitakavyoanza kutumika.

Viwango vipya nauli kwa kilomita

Km 0- 10 nauli ni 600

Km 11- 15 nauli ni 700

Km 16- 20 nauli ni 800

Km 21- 25 nauli ni 900

Km 26- 30 nauli ni 1100

Km 31- 35 nauli 1300

Km 36- 40 nauli 1400

Aidha, LATRA imetoa notisi ya siku 14 tangu kutangazwa kwa nauli hizi mpya kwa mtu yeyote ambaye hajaridhishwa na bei hizo kukata rufaa.

error: Content is protected !!