Kuna baadhi ya wanawake wenye matiti madoogo wana[enda kuona matiti yao yakiwa yamekaa, mviringo na yenye mpasuko wa kutosha ili kujionyesha katika mitindo fulani ya mavazi.
ClickHabari tumekuandalia aina ya vyakula ambavyo ukila vinaweza kusaidia kukuza matiti yako na kuwa makubwa.
Vyakula vya bahari
Vyakula hivi huwa na virutubisho ambavyo husaidia katika ukuaji wa matiti mfano pweza, ngisi, kamba na baadhi ya samaki.
Maziwa na Jibini
Vyakula vya aina hii huongeza ujazo wa matiti na kuyafanya kuwa makubwa, hivyo unashauriwa kunywa sana maziwa na kutumia jibini (cheese).
Karanga
Karanga zina mafuta, hivyo kama unataka kuwa na matiti makubwa basi unashauriwa kula zaidi karanga ili kuweza kupata matiti makubwa unayotarajia.
Mboga za majani
Mboga za majani pia uongeza ujazo wa matiti, hivyo ukila kwa wingi matiti yataongezeka na pia faida nyingine unakuwa na afya nzuri kwani mboga za majani huwa na virutubisho vingi vizuri ka afya ya mwanadamu.
Vyakula vya nafaka
Vyakula vya nafaka kama ngano na mchele pia vinasaidia katika kukuza matiti, unashauriwa kula vyakula hivi kwa wingi ili uweze kuwa na ujazo mzuri wa matiti yaliyo kwenye umbo zuri.