OKTOBA 13 : No Bra Day

HomeKimataifa

OKTOBA 13 : No Bra Day

OKTOBA 13 kila mwaka ni siku maalum ya kupaza sauti na kufanya watu watambuE kwamba saratani ya matiti ipo na hivyo ni muhimu wanawake wakajijengea utaratibu wa kwenda hospitali na kupima afya zao ili waweze kujua kama wana saratani.

Imeitwa No Bra Day ikimaanishwa kwamba siku hiyo sio lazima uvae brazia kwa kuwa utakua ukienda hospitali kuangalia kama saratani ipo au haipo.

Kwa wanaume wanaweza kuwaunga mkono wanawake kwenye siku hii kwa kuvaa tai au nguo yoyote yenye rangi ya pink.

error: Content is protected !!