Chombo cha habari cha Time kimeripoti ujumbe wa Rais wa Urusi, Vladimir Putin alivozionya nchi nyingine kwamba jaribio lolote la kuingilia hatua ya Urusi litasababisha matokeo ambayo hawajawahi kuyaona.
Russian President Vladimir Putin announced a military operation in Ukraine and warned other countries that any attempt to interfere with the Russian action would lead to “consequences they have never seen” https://t.co/4WLxzoerVX pic.twitter.com/tGIHBQqBcc
— TIME (@TIME) February 24, 2022