Pigo jipya bei za mafuta

HomeKitaifa

Pigo jipya bei za mafuta

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei mpya za mafuta ambazo zitaanza kutumika kuanzia kesho Jumatano May 04, 2022.

EWURA imesema 93% ya ongezeko la bei limechangiwa na mabadiliko ya bei katika soko la dunia.

Kwa Dar es salaaam Petroli ni Tsh. 3,148, Dizeli Tsh. 3,258 na Mafuta ya Taa Tsh. 3,112.

Cap prices wef 4 May 2022 - English
error: Content is protected !!