Rais Samia apongezwa na CHADEMA

HomeKitaifa

Rais Samia apongezwa na CHADEMA

Kada mwandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoa wa Morogoro, Acqulline Magalambura amesifu uteuzi wa wakuu wa mikoa uliofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan kwani amewaonani wachapakazi na watendaji wazuri watakomsaidia.

Magalambura alisema hayo wakati akitoa maoni yake baada ya uteuzi wa wakuu wa mikoa na makatibu tawala wa mikoa uliofanywa na Rais Samia.

“Mimi nafiriki amejua hawa ni watenda kazi wazuri anatakiwa akae kwenye safu ambao ni wasaidizi wake katika sehemu fulani kuna udhaifu au utendaji mbovu akiamini kule kuna mtu na anatenda kazi anayomwagiza ndicho alichosimamia Rais Samia,” alisema Magalambura.

 

error: Content is protected !!